<< Previous || Next> >Murungi Angesikiza Kilio cha Wakimbizi
Fatuma Bariki asema kuwa Bi Esther Murugi aiyaskize masaibu ya wakimbizi ile waweze kurejesha maisha sawa. Yeye anaonyesha kwamba hana huruma na ana madharau kwa vile anavyowakemea wakitoa malalamishi kadha. Hii haitasaidia kabisa. Source: Taifa Jumamosi, Pg 6 Date: Saturday, 12 Mar 2011 Other SummariesArchived Summaries |
Copyright © 2011 - All Rights Reserved - Internews in Kenya