Outsmarting Malaria

Data Dredger - Internews data portal among the best in data

The power of longform storytelling


<< Previous || Next> >

Kalonzo Amenoa - Waziri

Waziri wa Haki na Masuala ya Katiba Bw Mutula Kilonzo amekosoa makamu wa rais Bw Kalonzo Musyoka kwa juhudi zao za kutaka kesi za Kenya zihairishwe. Alisema kuwa ni heri juhudi hizo zingeegemea koti ya ICC yenyewe na sio mataifa yalio wanachama wa Security Council. Aliongezea kuwa msafara wa Kalonzo na wengine unaharibu fedha za wananchi.

Source: Taifa Jumamosi, Pg 1 & 2

Date: Saturday, 12 Mar 2011